Kwa nini Sokwe hutumia dawa za mitishamba?

  • | BBC Swahili
    1,715 views
    Sokwe nchini Uganda wameonekana wakitumia dawa za miti shamba kwenye matumizi mbalimbali ya kutibu vidonda vya wazi na maradhi mengine. Wanasayansi waliowafuatilia na kuwaangalia kwa karibu  wanasema kuwa Sokwe hao hutumia mimea hiyo kujitibu wao wenyewe, na wakati mwingine hata kuwasaidia wenzao.