Wagonjwa wa Saratani wateseka hospitali kuu ya Kenyatta

  • | Citizen TV
    476 views

    Mamia ya wagonjwa wa saratani katika hospitali kuu ya Kenyatta wanahangaika kupata matibabu baada ya mashine ya pekee ya Radiotherapy kuharibika. Wagonjwa waliofika hospitali kuu ya rufaa walilazimika kuondoka bila matibabu kwa juma la pili sasa. Wagonjwa hawa wakitaabika bila kupata mwelekeo wa matibabu yao ya saratani.