Wafanyikazi wa RMS wafunzwa mbinu za uwekezaji

  • | Citizen TV
    175 views

    kampuni ya royal media services imeandaa hafla ya kuhamasisha wafanyakazi wake kuhusu uwekezaji na masuala ya usimamizi wa fedha kwa jumla. Emily Chebet amehudhuria hafla hiyo katika ukumbi wa rms , na sasa tunaungana naye mubashara kwa mengi zaidi.