Wafanyibiashara Garissa washinikiza mazungumzo kupitia changamoto za miraa

  • | Citizen TV
    906 views

    Baada ya biashara zao za muguka na miraa kuathirika kutokana na marufuku katika kaunti za Kaskazini Mashariki, jamii ya wameru wanaoishi kaunti ya Garissa wamekutana kujadili mustakabali wao kwa kutafuta uongozi mpya ambao utapigania maslahi ya jamii hiyo.