Viongozi wa Kiislamu wamepinga uamuzi unaoruhusu watoto wanaozaliwa nje ya ndoa kurithi mali

  • | TV 47
    32 views

    Wadai uamuzi unakiuka Kurani na kudhoofisha Mahakama ya Kadhi.

    Mahakama ya Upeo yaruhusu watoto wa nje ya ndoa kurithi mali.

    Viongozi wataka mahakama ilinde maamuzi ya sheria za Kiislamu.

    Wapinga ujenzi wa kanisa Ikulu, wasema litaibua mgawanyiko wa kidini.

    Uamuzi wa mahakama ya Upeo ulitolewa tarehe 30 Juni 2025.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __