Tume ya TSC yashutumiwa kwa upendeleo na ukabila

  • | KBC Video
    131 views

    Tume ya kuajiri walimu hapa nchini (TSC) imemulikwa kuhusiana na madai ya ukabila na upendeleo katika shughuli ya kuwapandisha walimu vyeo iliyotekelezwa mwezi Januari mwaka huu. Stakabadhi zilizowasilishwa mbele ya kamati ya bunge la kitaifa kuhusu elimu, zilidhihirisha kwamba kuwapandishwa vyeo kwa walimu kuliegemea jamii na maeneo fulani, hivyo basi kuibua maswali kuhusiana na haki, uwazi na usawa. Zaidi ya walimu elfu-25 walipandishwa vyeo wakati wa shughuli hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive