Padre John Maina apatikana amauwawa Nakuru

  • | Citizen TV
    5,473 views

    Mashahidi 5 wakiwemo msamaria mwema aliyemuokoa muhubiri aliyepatikana ameuawa mjini Nakuru John Maina, wameandikisha taarifa na polisi. Padre John Maina kutoka Parokia ya Igwamiti, Nyahururu, Kaunti ya Nyandarua, alipatikana akiwa na majeraha kandokando ya barabara ya Nakuru kuelekea Nairobi wiki jana. Na kama Maryanne Nyambura anavyoarifu, rafiki wa karibu wa Padre Maina ameeleza kuwa marehemu alikuwa akisakwa na watu wasiojulikana kuhusu utata wa mchango wa hafla ya kanisa