Nyumba 1080 za gharama nafuu zakabidhiwa wakazi wa Mukuru, Nairobi

  • | KBC Video
    3,128 views

    Rais William Ruto amewapuuzilia mbali wakosoaji wa serikali akisema atafanya kazi na viongozi ambao wana maono sawa huku akiwasuta wale aliosema wanaendeleza siasa za kikabila. Kiongozi wa taifa alisema hayo wakati ya hafla ya kukabadhi rasmi nyumba 1,080 za gharama nafuu katika eneo la Mukuru ambapo aliahidi kuhakikisha uondoaji wa mitaa ya mabanda kupitia miradi ya nyumba za gharama nafuu kote nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive