Mwanasheria mkuu hatimaye azungumuza kuhusu muhuri wa serikali

  • | KBC Video
    83 views

    Mwanasheria mkuu Dorcas Oduor amekanusha ripoti kwamba muhuri wa serikali umeondolewa katika afisi yake. Akizungumza baada ya kuzindua kamati ya kushughulikia mpango wa matokeo ya dharura unaolenga kufuatilia kwa haraka utatuzi wa migogoro ya ardhi na mazingira, Oduor aliudhibiti mjadala huo kwa kusisitiza kwamba afisi yake inasalia kutambuliwa kisheria kuwa mtunzi wa muhuri wa serikali. Ripoti za awali za vyombo vya habari zilidokeza kwamba muhuri wa serikali ulikuwa umehamishwa hadi ofisi ya mkuu wa utumishi wa umma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive