Mvua kubwa inayoendelea kunyesha yaharibu barabara Kisii

  • | Citizen TV
    589 views

    Mvua inapoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini, wakazi kutoka Nyanchwa na maeneo ya Nyakoe wamejitokeza kulalamikia ubovu wa barabara maeneo yao wakitaka viongozi husika kuwashughulikia. Barabara ya Kioge kwenda Raganga na ile ya Shule ya msingi ya Nyanchwa imelemaza shughuli za usafiri .