Mashindano ya tenisi Nairobi: Wachezaji washiriki michuano ya J30

  • | NTV Video
    28 views

    Mashindano ya ITF J30 Nairobi yaliendelea katika Klabu ya Michezo ya Parklands huku wachezaji kumi wakifuzu kwa raundi ya pili katika kipengele cha vijana wa kiume kwenye mchezo wa single.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya