Inspekta Jenerali wa Polisi Kanja akutana na wakuu wa usalama kujadili changamoto za ufisadi

  • | Citizen TV
    1,054 views

    Inspekta Jenerali wa polisi, Douglas Kanja, leo amekutana na makamanda wa polisi kutoka maeneo mbalimbali nchini kujadili changamoto mpya za kiusalama na ufisadi. Aidha, kuanzia sasa makamanda wote watahitajika kuunda kamati ya kuzuia ufisadi na kuwasilisha ripoti kwa kanja kila baada ya miezi minne.