Chama cha Mawakili chashinikiza polisi kuwajibishwa

  • | Citizen TV
    2,873 views

    Chama cha mawakili nchini kimekashifu vikali kifo cha mwanablogu Albert Ojwang na kutaka uchunguzi waharaka kufanyika ili kuwawajibisha waliohusika na kifo chake. Hii ni baada ya polisi kusema ojwang alikuwa na majeraha ya kichwa baada ya kujigonga kichwani ndani ya seli.