Biashara I Gharama ya umeme yatarajiwa kupungua

  • | KBC Video
    6 views

    Taasisi ya wahandisi humu nchini imepiga kamsa kuhusu saruji wa viwango duni humu nchini ikisema hali hiyo inazidi kudorora licha ya baadhi ya bidhaa hizo kuwa na alama ya ubora kutoka kwa shirika la ukadiriaji viwango. Taasisi hiyo inatoa wito wa ukaguzi wa mara kwa mara na wa kina wa kampuni za utengenezaji saruji ili kukabiliana na tisho la bidhaa za viwango duni humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive